Waziri wa Kazi nchini Kenya Kazungu
Kambi leo anatarajia kukutana na vyama vya walimu pamoja na Tume ya
Huduma za Walimu, katika jitihada za kumaliza mgomo wa nchi nzima.
Mazungumzo baina ya maafisa wa
serikali kutoka Wizara ya Elimu na Wizara ya Kazi pamoja na walimu
yalikwama jana, na kuendeleza kuchelewa kufunguliwa kwa shule za umma
za Msingi na Sekondari nchi nzima.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni