Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
Mzee Machano Mjombo (102) mmoja kati ya Waasisi wa TANU na ASP wakati
alipomtembelea kijijini kwake Gamba Mabatini Mkoa wa Kaskazini Unguja
kwa ajili ya kumjulia hali leo Januari 07,2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
wanafamilia ya marehemu Mzee MtumwaKassim, wakati alipowatembelea
kijijini kwao Gamba Sokoni Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya
kuwafariji leo Januari 07,2015.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni