Baadhi ya Wenyeviti wa Serikali za
Mitaa walioshinda katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kutoka
katika Majimbo ya Ilala, Ukonga na Segerea wakila kiapo leo mbele
Wakili wa Serikali (hayupo pichani) kwenye Ukumbi wa Arnautoglo,
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Serikali za
Mitaa walioshinda katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kutoka
katika Majimbo ya Ilala, Ukonga na Segerea wakila kiapo mbele Wakili
wa Serikali kwenye Ukumbi wa Arnautoglo, Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
Sehemu ya Wenyeviti na Wajumbe wao
wakijaza fomu katika ukumbi wa Arnautoglo, Mnazi Mmoja kabla ya kula kiapo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni