Ijumaa, 9 Januari 2015
MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI, JKU YAISHANGAZA YANGA UWANJA WA AMAAN
Kikosi cha timu ya JKU kikipasha misuli kabla ya mchezo wao wa Robo Fainal na timu ya Yanga kuanza na kuibuka mshindi kwa kuifunga Yanga bao moja katika kipindi cha pili cha mchezo kupitia mshambuliaji wake Amour Janja.
Wachezaji wa kikosi cha Yanga wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya JKU uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.
Rais wa Shirikisho la Soka nchini ( TFF ) Jamal Malinzi akisalimia kabla ya mchezo kati ya Yanga na JKU, mchezo wa Kombe la Mapinduzi.
Rais wa TFF, Jamal Malinzi akitambilishwa kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wao dhidi ya JKU.
Rais wa TFF, Jamal Malinzi akitambulishwa kikosi cha JKU
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha JKU. Picha kwa ya hisani ya ZanziNews
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni