Nyota huyo wa Hollywood mwenye miaka 39, amekutana na Papa siku ya alhamisi alipokuwa nchini Italia kuonyesha kwa mara ya kwanza filamu yake mpya ya Unbroken.
Angelina Jolie ambaye pia ni balozi wa UNHCR, alifanikiwa kukutana na Papa katika makazi yake mjini Vatican, kitendo ambacho alionekana kukifurahia sana.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni