Miili imesambaa katika mitaa katika mji muhimu wa kaskazini-mashariki mwa Nigeria kufuatia shambulio lililofanywa na wapiganaji wa Kundi la Boko Haram.
Boko Haram wameshambulia mji wa Baga siku ya jumatano, baada ya kufanikiwa kutwaa kambi ya jeshi siku ya jumamosi.
Karibu nyumba zote za mji huo wa Baga zimechomwa moto na wapiganaji wa kundi hilo imeelezwa wamekuwa wakisonga katika mji unaofuata.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni