.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 29 Januari 2015

MLIPUKO WA KUJITOA MHANGA WAUWA MAKUMI YA WATU NCHINI MALI

Mlipuko wa tukio la kujitoa mhanga pamoja na shambulio la kutumia silaha limewauwa makumi ya watu katika eneo linalokaliwa na waasi kaskazini mwa Mali.

Hili ni tukio la kwanza la mlipuko wa kujitoa mhanga linaloshutumiwa kufanya na wapiganaji wa kabila la Gatia wanaoungwa mkono na serikali, ambapo wanapambana na waasi wa kabila la Tuareg.

Eneo la kaskazini mwa Mali, linakabiliwa na machafuko baina ya vikosi vya serikali, kundi la Tuareg pamoja na wapiganaji wa Kiislam.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni