Kamishna wa Ardhi nchini Kenya,
amemtaka bosi wake ambaye ni Waziri wa Ardhi Bi. Charity Ngilu
kujiuzulu kwa kushindwa kutekeleza mabadiliko.
Kamishna huyo Bw. Abdulkadir Khalif
amesema Dk. Muhammad Swazuri pamoja na Waziri Ngilu wanachangia
mkanganyiko na kutengeneza mazingira mazuri ya uvamizi wa ardhi.
Bw. Khalif amesema viongozi hao
wawili wameshindwa kuharakisha kupitishwa kwa miswada ambayo ni
muhimu kwa kujenga utawala na usimamizi wa ardhi nchini Kenya.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni