Akina dada hawa wa mjni Sydney, Australia wakiwa na furaha ya kuuona mwaka mpya wa 2015.
Maelfu ya wananchi wakiwa wamekusanyika Kim Il-Sung Square mjini Pyongyang, Korea Kaskazini wakati wa sherehe za kuupokea mwaka mpya wa 2015.
Mwaka mpya 2015 ulipokelewa kwa shangwe na mbwembwe za aina yake mjini London, Uingereza.
Mambo ya mwaka mpya 2015 yalivyokuwa mjini London, Uingereza.
Mji wa Sydney, Australia ilikuwa ni furaha na shangwe katika kuupokea mwaka mpya 2015.
Nchini Hong Kong nako ilikuwa ni furaha kubwa kuupokea mwaka 2015.
Mwaka mpya 2015 ulivyopokelewa Manila ambao ni mji mkuu wa Philippines.
Fataki zikiwa zimepamba angani jirani na mnara wa Kremlin's Spasskaya (Saviour) mjini Moscow, Urusi zikiwa ni shamra shamra za mwaka mpya 2015.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)









Hakuna maoni :
Chapisha Maoni