.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 1 Januari 2015

WAZIRI WA UCHUKUZI AKUTANA NA WAFANYABISHARA WANAOTUMIA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mwakyembe, akisisitiza jambo alipokutana na wafanyabishara wanaotumia bandari ya Dar es Salaam (hawapo pichani), katika ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Leo asubuhi. 
Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Award Massawe, akisistiza jambo, wakati Waziri wa Uchukuzi, alipokutana na Wafanyabishara wanaotumia bandari ya Dar es Salaam leo asubuhi katika ofisi za Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam. 

                                         ( Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - Uchukuzi )

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni