Naibu Waziri wa Miundo mbinu na
Mawasiliano Issa Haji Ussi (Gavu), akifungua kitambaa kama ishara ya
ufunguzi wa mtambo wa kubadilishia maji kutoka kwenye chumvi na kuwa
safi na salama huko Uzi Ng’ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni
shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa Miundo mbinu na
Mawasiliano Issa Haji Ussi (Gavu)akikinga Maji yaliobadilishwa kutoka
kwenye chumvi na kuwa safi na salama baada ya kufungua huko Uzi
Ng’ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za
maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Wananchi mbalimbali wakinywa maji
yaliobadilishwa kutoka kwenye chumvi na kuwa safi na salama baada ya
kufunguliwa huko Uzi Ng’ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra
shamra za maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni