Alhamisi, 8 Januari 2015
MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI, SIMBA YAICHAKAZA TAIFA JANG'OMBE 4-0
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Jangombe wakipasha misuli kabla ya mchezo wao wa Robo Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa timu ya Simba wakipasha misuli kabla ya mchezo wao wa Robo Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Kwa hisani ya ZanziNews
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni