Ali ambaye alikuwa bingwa mara tatu wa
uzito wa juu, amerejea nyumbani baada ya kuruhusiwa kurudi nyumbani
jumanne usiku, kwa mujibu wa msemaji wa familia.
Msemaji huyo Bob Gunnell amesema Ali
,72, amepona kabisa na familia yake inamshukuru kila mtu kwa kumuunga
mkono wakati wa ugonjwa wake.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni