Rais Yoweri Museveni wa Uganda
amewashauri vijana kuachana na tabia ya unywaji pombe kwa wingi na
kusema kuwa pombe ni moja ya sababu kuu ya kusababisha umasikini
katika familia.
Rais Museveni, metoa ushauri huo
wakati akiongea katika ibada ya mwaka mpya iliyofanyika kwenye Kanisa
la Uganda la Nshwere, Daiyosisi ya Ankole Kaskazini Wilayani
Kiruhura, ambapo pia alikuwa ameambatana na mkewe Mama Janeth
Museveni.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni