
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pilikushoto) na Makamo wa Kwanza wa Reais maalim Seif Sharif Hamad wakipata maelezo kutoka kwa Prof,Dk. Mahmoud Quresh Mwakilishi wa taasisi ya ND kutoka Spain wakati alipotembelea mashine za upasuaji baada ya kulifungua jengo jipya ya upasuaji wa Ubongo na Uti wa Mgongo (Neurosurgical Unit) katika Hospitali ya Mnanzi Mmoja leo (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali Dk.Jamala Adam Taibu pia sherehe hizo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Dk.Mohamed Ali Haji (ustadh) wa sehemu ya upasuaji wa Ubongo na Uti wa Mgongo (Neurosurgical Unit) katika Hospitali ya Mnanzi Mmoja wakati Rais alipowatembelea wagonjwa mbali mbali waliokwisha fanyiwa matibu na Kituo hicho baada ya kulifungua jengo hilo leo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif wakimuangalia Mtoto Iman Haroun Mbarouk Miezi minne (4) wa Kijichi akiwa na Mama yake Asha Mohamed Said akiwa tayari amesha fanyiwa upasuaji wa kichwa katika kituo cha (Neurosurgical Unit) katika Hospitali ya Mnanzi Mmojabaada ya kulifungua jengo hilo leo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Wanafunzi wa Chuo cha Sayansi ya Afya wakiwa mbele ya jengo la jipya ya upasuaji wa Ubongo na Uti wa Mgongo (Neurosurgical Unit) katika Hospitali ya Mnanzi Mmoja baada ya kufunguliwa rasmi leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein likiwa la horofa mbili na uwezo wa vitanda 30 pamoja na vyumba (2)viwili vya upasuaji,[Picha na Ikulu.]






Hakuna maoni :
Chapisha Maoni