.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 10 Januari 2015

WAZIRI WA VIWANDA ATEMBELEA MACHIMBO YA CHUMA LIGANGA NA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA

Waziri wa Viwanda na Biashara akutana na wafanyabiashara wa Mkoani Njombe na kuzungumza nao fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa huo mara baada ya kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi. 
Mlima wa Liganga uliopo mkoani njombe wilaya ya Ludewa ambapo kampuni ya Tanzania China International Mineral Resources Ltd inasimamia miradi ya makaa ya mawe.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kiogoda (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania China International Mineral Resources Ltd, Erick Mwingira juu ya miradi hiyo ya makaa ya mawe, alipotembelea miradi ya Chuma cha Liganga na Makaa ya mawe ya Mchuchuma. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Mligi Mkucha.
Picha ya pamoja ya Mh. Waziri wa Viwanda na Biashara pamoja na watafiti na Viongozi wa serikali.
                                       Waziri wa Viwanda na Biashara katika mlima wa liganga.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni