.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Januari 2015

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AZINDUA SOKO LA SAMAKI NA MBOGAMBOGA - TUMBE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba akiwa kisiwani huko atazindua Soko la Samaki na mboga mboga ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama na Serikali mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba akiwa ziara ya kuzindua miradi mbali mbali ikiwemo Soko la Samaki na mboga mboga Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed alipowasili katika Uzinduzi wa Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Afisa Tawala Wilaya ya Micheweni Pemba Ahmed Khalid Abdalla pamoja na Viongozi wengine alipofika katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Michweni kuzindua Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji hicho leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe alipofika katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Michweni Pemba kuzindua Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji hicho leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe(kulia) alipofika katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Michweni Pemba kuzindua Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji hicho leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kutoka kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dk.Kassim Gharib Juma na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba leo lililojengwa na Serikali kupitia mkopo Benki ya Dunia ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dk.Kassim Gharib Juma baada ya kulizindua Soko la Samaki na mboga mboga wakati alipotembelea sehemu za Soko hilo leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa kwanza kushoto) Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis na Mkurugenzi Idara ya Uvuvi Mussa Aboud Jumbe,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia sehemu ya kufanyia minada katika Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba leo baada ya kulizindua rasmi ,ikiwa ni shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha cha Tumbe wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Samaki na mboga mboga leo uzinduzi huo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe alipofika kuangalia jenereta katika soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Michweni Pemba baada ya kuzindua Soko hilo leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo baada ya kulizindua Soko la Samaki na mboga mboga Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za soko hilo katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni