.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Januari 2015

TAARIFA KUTOKA TFF

Napenda kuwafahamisha kuwa leo (Januari 6, 2015) kutakuwa na hafla ya kuwakabidhi beji waamuzi wapya wa FIFA kutoka Tanzania kwa mwaka 2015.

Beji hizo watakabidhiwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi. 

Hafla hiyo itafanyika saa 4 asubuhi kwenye ofisi za TFF zilizopo Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni