.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 25 Januari 2015

TISHIO LA BOMU LAPELEKEA NDEGE ZA MASHIRIKA MAWILI MAREKANI KUKAGULIWA

Maafisa wa Marekani wamesema jeshi la polisi limekagua ndege mbili katika uwanja wa Atlanta, baada ya kupatiwa taarifa za uhakika za tishio la kuwepo bomu.

Msemaji wa uwanja huo Reese McCranie tishio hilo lilitolewa kwa ndege za mashrika ya ndege ya Delta na Southwest zinazotoka Potland na Milwaukee.

Amesema kuwa baada ya taarifa hizo ndege za shirika hilo zimetua salama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hartsfield-Jackson.

Ndege mbili za kivita za Marekani zilizisindikiza ndege hizo katika uwanja wa Hartsfield-Jackson na baadae kuelezwa kuwa hakuna bomu lililokutwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni