.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 25 Januari 2015

WAZIRI WA ULINZI WA ZAMBIA EDGER LUNGU ASHINDA URAIS

Waziri wa Ulinzi wa Zambia Edger Lungu wa Chama cha Patriotic Front ameshinda nafasi ya urais katika uchaguzi uliofanyika siku ya jumanne.

Lungu ameshinda kwa kura 48.3, tume ya uchaguzi imetangaza, katika uchaguzi huo ambao matokeo yake yamechelewa kutolewa.

Mpinzani wake Hakainde Hichilema wa chama cha United Party for National Development, ambaye mapema alitangaza kuukosoa uchaguzi huo kwa kuvurundwa amepata kura 46.7.

Uchaguzi huo wa urais Zambia uliitishwa kutokana na kifo cha rais Michael Sata kilichotokea mwezi Oktoba mwaka jana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni