Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza (aliyemaliza muda wake), Rakesh Rajani (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe (katikati) pamoja na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh wakati wa hafla fupi iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Rais wa TUCTA,Grasian Mukoba akizngumza machache wakati wa hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Ernest Sungura wa TMF akiongea mmoja wa waalikwa
Ankal na wadau pia walihudhulia hafla hiyoMkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza (aliyemaliza muda wake), Rakesh Rajani akiwa amejumuika na wadau wengine kwenye hafla ya kumuaga iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam.
Wadau mbali mbali kwenye hafla hiyo
Mwalimu Azaveli Lwaitama nae alikuwepo
Waalikwa wakibadilishana mawazo












Hakuna maoni :
Chapisha Maoni