.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Januari 2015

VURUGU ZAIBUKA KATIKA ZOEZI LA KUAPISHWA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA DAR

Watu kadhaa wamepoteza fahamu baada ya kuvuta hewa ya mabomu ya machozi yaliyofyatuliwa na polisi katika vurugu zilitotokea wakati wa kuapishwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika hoteli ya Land Mark, Jijini Dar es Salaam.

Vurugu hizo ambazo kwa sasa zimedhibitiwa, ziliibuliwa na kambi ya upinzania ya Ukawa ambao wanapinga kuapishwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Msisiri kutoka CCM, kwa madai Chama cha Wananchi (CUF) ndio kilishinda nafasi hiyo.
              Polisi wakiwadhibiti wafuasi wa vyama vya upinzani nje ya Land Mark Hotel leo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni