Masomo katika shule za umma nchini
Kenya, yamekwama kuanza baada ya walimu zaidi ya 200,000 kukaidi
agizo la serikali na kuamua kutoendelea na kazi wakati wa kuanza kwa
muhula mpya wa mwaka 2015.
Walimu hao wameitikia wito wa Katibu
Mkuu wa Chama cha Taifa cha Walimu (KNUT), Bw. Willson Sossion,
wakutoingia madarasani kupinga serikali kushindwa kuongeza mishahara
yao na posho zao.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni