Wafuasi wa kundi linalokinzana na
kundi linalopiga kampeni dhidi ya utamaduni wa kiislam katika nchi za
Ulaya limeendesha maandamano katika miji mbalimbali nchini Ujerumani.
Kumekuwepo na maandamano ya wiki
moja kuwapinga, wazalendo wa Ulaya wanaopinga kuridhiwa kwa uislama
wa nchi za Magharibi (Pregida), tangu mwezi Oktoba.
Hapo jana maandamano hayo yaliweka
rekodi ya watu 18,000 kushiriki huko Dresden.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni