.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 27 Februari 2015

NDEGE NDOGO YA JESHI YAANGUKA MKOANI MWANZA

Ndege ndogo ya mazoezi ya jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) imeanguka asubuhi ya leo katika uwanja wa ndege wa Mwanza, wakati ikijaribu kuruka.

Kwa mujibu wa mwandishi wetu rubani wa ndege hiyo ambaye jina lake halijapatikamara moja alinusurika baada ya kuvunja kioo na kuruka nje ya ndege hiyo.

Inadaiwa chanzo cha ajali hiyo ni ndege aliyekuwa ameingia kwenye mfumo wa injini ya ndege hiyo, hata hivyo maafisa wa JWTZ waliokuwepo eneo la ajali hawakutaka kuzungumzia ajali hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni