Watu wanne wamekufa papo hapo leo
nchini Kenya baada ya basi la abiria maarufu kama matatu kugonga Lori
lililokuwa limeegeshwa eneo la Jomvu katika barabara kuu ya
Mombasa-Nairobi.
Abiria wengine wawili wamekimbizwa
hospitali na hali zao ni mbaya, kufuatia ajali hiyo iliyotokea leo
majira ya asubuhi.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni