Bunge la Afrika Kusini litakutana
leo mchana kujadili hoja ya kutokuwa na imani na rais wa nchi hiyo
Bw. Jacob Zuma.
Kwa mujibu wa Katiba ya Afrika
Kusini, Bunge kwa kuungwa mkono na wabunge waliowengi wakipitisha
hoja ya kutokuwa na imani na rais au waziri ama waziri mkuu mhusika
atapaswa kujiuzulu.
Hivi sasa chama tawala cha ANC
kinaidadi kubwa ya wabunge katika bunge hilo ambapo wabunge wa ANC ni
249 sawa na 62.15%.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni