Dereva wa lori la mizigo aina ya Fuso pamoja na abiria wake wamefariki dunia papo hapo baada ya gari lao kugongana uso kwa uso na basi la Kampuni ya FM Safari katika eneo la Mikumi, mkoani Morogoro.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa, lori hilo la mizigo lilikuwa limebeba nyanya na lilikuwa linaelekea Morogoro, wakati basi hilo lilikuwa linatoka Dar es Salaam kuelekea mkoani Mbeya. Tutawaletea taarifa zaidi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni