.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 20 Machi 2015

BUNGE LA KENYA LIMEWASILISHA MUSWADA KUWABANA WAZAZI WANAOGOMBANA MBELE YA WATOTO

Bunge la Kenya limewasilisha muswada wa kudhibiti ukatili wa kifamilia ambao pamoja na mambo mengine iwapo utapitishwa wanandoa ambao wanapenda kugombana na kutoleana lugha chafu mbele ya watoto watafungwa jela.

Hata hivyo katika muswada huo wa mwaka 2013, wabunge wameondoa kipengele ambacho kilikuwa kinatoa fursa kwa mwanamke aliyetengana na mumewe kupewa kinga na mahakama ya kutosumbuliwa na aliyekuwa mumewe.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni