.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 20 Machi 2015

SENETA WA NAIROBI AMLIPIA FAINI KIKONGWE ALIYEFUNGWA KWA MGOGORO WA ARDHI

Seneta wa Jiji la Nairobi Mike Mbuvi 'Sonko' amefanikiwa kumuokoa kutoka jela Kikongwe mwenye umri wa miaka 100, aliyefungwa jela kutokana na kesi ya mgogoro wa ardhi.

Sonko ambaye jina hilo linamaana ya mtu mwenye fedha nyingi amelipa faini ya shilingi 100,000 za Kenya na kumtoa bibi huyo aliyekuwa tayari kakaa jela kwa siku mbili.

Seneta huyo ambaye ameunda timu maalum ya kuokoa na kutoa misaada kwa wahitaji, amefanya malipo ya faini hiyo kupitia kikosi chake cha magharibi mwa Kenya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni