.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 31 Machi 2015

MAHAFALI YA PILI YA PROGRAM YA HAKI ZA BINADAMU UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI YAFANYIKA DAR

Rais wa Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya pili ya Program ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki yaliyofanyika katika Chuo cha Bagamoyo (UB) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga (kulia) akimkabidhi cheti muhitimu wa kozi ya haki za binadamu Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati katika Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Comfort Maembe, kozi hiyo iliandaliwa na Chuo Kikuu cha Bagamoyo kwa kushirikiana na Akiba Uhaki Foundation ya Kenya na kufanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Rais wa Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga (kulia) akimkabidhi cheti muhitimu wa kozi ya haki za binadamu katika kwa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Sophie Ogutu kutoka Kenya jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kozi hiyo iliandaliwa na Chuo Kikuu cha Bagamoyo kwa kushirikiana na Akiba Uhaki Foundation ya Kenya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni