.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 19 Machi 2015

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitoka hospitali kuu ya Mnazi mmoja alikokwenda kuangalia wagonjwa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwajuilia hali baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika wodi ya wanawake, hospitali kuu ya Mnazi mmoja mjini Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akibadilishana mawazo na baadhi ya madaktari walioko kwenye mazoezi ya vitendo katika hospitali kuu ya Mnazi mmoja alikokwenda kwa ajili ya kuangalia wagonjwa. (Picha na Salmin Said, OMKR)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni