Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Kongamano la tatu la Vijana wa Tanzania na China kuhusu masuala ya Uongozi, wakati alipokuwa akiwasili kwenye ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto kufunga kongamano hilo jana Machi 29, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake jana Machi 29, 2015 wakati akifunga rasmi Kongamano la tatu la Vijana wa Tanzania na China, lililohusu masuala ya Uongozi, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto jijini arusha
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimksikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akifunga rasmi Kongamano hilo.Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimksikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akifunga rasmi Kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimksikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akifunga rasmi Kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimksikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akifunga rasmi Kongamano hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika, Chen Lin, baada ya Makamu kufunga rasmi Kongamano la tatu la Vijana wa Tanzania na China, lililohusu masuala ya Uongozi, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto jijini arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakati akiondoka ukumbini hapo baada ya kufunga rasmi Kongamano la tatu ya Viajana wa Tanzania na China, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni