Maziko ya mwanamke mmoja kikongwe
nchini Mexico yalichukua sura ngeni baada ya mbwa wa mitaani
kujitokeza nao kuja kutoa heshim za mwisho.
Mwanamke huyo mpenda wanyama
Margarita Suarez wa Merida, Yucatan, alifariki dunia mapema mwezi huu
baada ya kuugua.
Wakati wa uhai wake Margarita
alikuwa ni mtu mwema mno kwa wanyama wa aina yote na kila asubuhi
alikuwa akiwapatia chakula mbwa na paka wa mitaani anaowakuta nje ya
nyumba yake.
Mbwa wakiomboleza kifo cha Margarita Suarez
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni