Matokeo ya awali ya uchaguzi wa
Nigeria yanaonyesha tofauti ndogo ya kura baina ya rais
aliyemadarakani Goodluck Jonathan, pamoja na kiongozi wa kijeshi
Muhammadu Buhari.
Katika majimbo nane pamoja na Jiji
la Abuja, Rais Jonathan wa chama cha People's Democratic Party (PDP)
anaongoza kwa karibu kura 20,000.
Matokeo rasmi ya uchaguzi huo ambao
unaushindani mkali yanatarajiwa kutolewa hii leo.
Mabomu ya machozi yakiwatawanya wanaopinga matokeo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni