.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Machi 2015

RAIS UHURU KENYATTA ACHOMA TANI 15 ZA MENO YA TEMBO

Rais Uhuru Kenyatta hii leo amekuwa rais wa tatu Kenya, kuweka historia ya kuchoma moto meno ya tembo tani 15 katika kuadhimisha Siku ya Wanyamapori Duniani.

Siku ya Wanyamapori Duniani ilitangazwa na Baraza la Umoja wa Mataifa Desemba 20, 2013 ili kuhamasisha kulinda wanyamapori na mapori.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni