.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 4 Machi 2015

WAJUMBE KUTOKA BUNGE LA NORWAY WATEMBELEA PEMBA

  WAZIRI wa Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati wa Zanzibar, Mhe:Ramadhan Abdalla Shaaban akizungumza na wajumbe wa bunge la Norway wakiongoza na mkuu wa msafara huo, Bwana Geir Hermansen, wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
  WAZIRI wa Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati wa Zanzibar, Mhe:Ramadhan Abdalla Shaaban akisalimiana na mmoja wa wabunge wa bunge la Norway katika eneo la VIP uwanja wa ndege wa Karume Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
  WAJUMBE wa bunge la Norway wakiwa katika kikao maalumu na viongozi wa Serikali ya Mikoa miwili ya Pemba, mkutano huo uliokuwa ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa kusini Pemba, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman, mara baada ya kuwasili kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
  MKUU wa Wilaya ya Mkoa Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na wajumbe wa bunge la Norway wakati walipowasili kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
  MKUU wa Msafara wabunge wa bunge la Norway Bwana Geir Hermansen, akitoa salamu za wabunge wenzake kwa viongozi wa mikoa miwili ya Pemba, huko katika ofisi ya Mkuu Wa Mkoa wa kusini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
  MENEJA wa Shirika la Umeme zanzibar ZECO Mhe:Hassan Ali Mbarouk, akiwasilisha Ripoti ya Umeme zanzibar uliofadhiliwa na Serikali ya Norway, huko katika hoteli ya Pemba sunset Beach Wesha, huku wajumbe wa bunge la Norway wakimsikiliza kwa makini Meneja huyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MMOJA wa wabunge wa bunge la Norway akiwasilisha Ripoti ya Umeme, kwa viongozi wa Shirika la Umeme zanzibar ZECO,huko katika hoteli ya Pemba Sunset Beach Wesha.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni