.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 20 Machi 2015

RAIS WA NIGERIA ASEMA BOKO HARAM WATADHIBITIWA NDANI YA MWEZI MMOJA

Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameviambia vyombo vya habari kuwa maeneo yaliyokuwa yakishikiliwa na kundi la Boko Haram yatatwaliwa katika kipindi kisichopungua mwezi mmoja.

Rais Jonathan amesema kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram wanazidi kudhoofika siku hadi siku.

Hata hivyo rais Jonathana amekiri vikosi vya usalama vilikuwa vikizembea kukabiliana na wapiganaji hao hapo awali na kupelekea kusonga mbele kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Hivi karibuni jeshi la Nigeria limekuwa litangaza kupata ushindi dhidi ya Boko Haram, ambao wamesababisha vifo vya watu 15,500 tangu waanze harakati zao mwaka 2012.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni