Jumatatu, 30 Machi 2015
RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AKUTANA NA MABALOZI WADOGO WAPYA WA INDIA NA OMAN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo mpya wa India anaefanyia kazi zake Zanzibar Satendar Kumar alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo mpya wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni