Jumatatu, 30 Machi 2015
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI, IKULU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Ibrahim Al Najem alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Ibrahim Al Najem alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni