Mwanamuziki nyota wa Marekani Mariah
Carey inasemekana ameanza maisha mapya ya mahusiano ya mapenzi na
mtengenezaji filamu Brett Ratner.
Wawili hao wamenaswa wakiwa katika
hali ya utata siku ya jumamosi kwenye boti moja ya kifahari huko St.
Barts.
Mashuhuda wamesema wawili hao
walikuwa wakikumbatiana mara kwa mara na inaonyesha dhahiri walikuwa
wameshibana kimahaba.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni