Jumamosi, 28 Machi 2015
USALAMA BARABARANI UNAANZA NA WEWE
Baadhi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani wakiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Uslama Barabarani nchini, Johansen Kahatano ( wa pili kutoka kulia ) baada ya kumtembelea ofisini kwake makao makuu ya kikosi cha Usalama barabarani jijini Dar es Salaam.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni