Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Dk.wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa ndege wa KIA.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China amewasili nchini kuja kushiriki kwenye ufunguzi wa Kongamano la Viongozi Vijana wa Afirka pamoja na China litakaloanza leo mjini Arusha.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Dk.Wang Jiarui wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa ndege wa KIA.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Dk. Wang Jiarui akizungumza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) pamoja na Mkuu wa mkoa wa Arusha Ndugu Daudi Felix Ntibenda kwenye hotel ya Ngurdoto,Arusha.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni