.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 2 Machi 2015

VIDEO YAMUONYESHA POLISI AKIMPIGA RISASI NA KUMUUA MTU ASIYE NA MAKAZI NCHINI MAREKANI

Picha ya video imemuonyesha polisi mmoja nchini Marekani akimpiga risasi na kumuua mtu asiye na makazi wakati wakibishana nao katika Jiji la Los Angeles.

Picha hizo zinaonyesha mapambano baina ya mtu huyo na maafisa kadhaa wa polisi katika eneo la Jiji hilo la Skid Row.

Wakati polisi wakijaribu kumdhibiti, ilisikika sauti ikimuambia weka silaha chini, na sekunde kadhaa baadae akapigwa risasi. Polisi bado hawajathibitisha iwapo mtu huyo alikuwa na silaha.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni