.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 5 Machi 2015

VITUO VITATU KENYA VILIVYOZIMA MATANGAZO YAKE VYATARAJIWA KURUDI HEWANI

Vituo vitatu mashuhuri vya Televiseni nchini Kenya, vinatarajia kumaliza mgomo wao wa kutorusha matangazo uliodumu kwa wiki tatu kupinga kuhamia katika mfumo wa digitali

Vituo hivyo vya KTN, Citizen na NTVpamoja na kituo chake kidogo cha QTV, vilizima matangazo yake tangu Februari 14, kutokana na mvutano huo wa kuhamia digitali.

Vituo hivyo vikuu nchini Kenya vilitaka kupewa muda zaidi, lakini serikali ilikata na kupelekea viamue kuzima matangazo yake. TV ni njia kuu muhimu ya habari katika miji ya Kenya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni