.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 5 Machi 2015

MGONJWA WA MWISHO WA EBOLA ARUHUSIWA KUTOKA LIBERIA BAADA YA KUPONA

Nchi ya Liberia imemruhusu kutoka hospitali mgonjwa wake wa mwisho aliyepona Ebola, baada ya kukaa wiki nzima bila kupata maambukizi mapya ya Ebola.

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mgonjwa huyo Beatrice Yardolo, aliruhusiwa kutoka katika kituo cha Ebola kinachosimamiwa na China katika Jiji la Monrovia baada ya kutibiwa kwa wiki mbili.

Karibu watu 10,000 wamekufa kwa ugonjwa wa Ebola wengi wakiwa ni katika nchi za Guinea, Liberia na Sierra Leone.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni