.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 2 Machi 2015

WAKRISTO 19 WA JAMII YA ASSYRIAN WALIOTEKWA WAACHIWA HURU NA IS

Watu 19 kati ya 220 wa jamii ya Kikristo ya Assyrian waliotekwa na kundi la Dola ya Kiislam (IS) kaskazini-mashariki mwa Syria wameachiwa huru.

Kundi la Uangalizi wa Haki za Binadamu Syria limesema wameelezwa kuachiwa huru kwa watu hao na kamanda wa jamii ya Assyrian. Kunataarifa kuwa wameachiwa kwa malipo ya fedha.

Jamii hiyo ya Assyrian ambao ilitekwa alfajiri ya Februari 23, baada ya wapiganaji wa IS kuvamia vijiji 12.
                                                Waumini wa jamii ya Assyrian wakiwa kanisani

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni