Wapiga kura nchini Israel
wanajiandaa kuingia katika uchaguzi ambao umebashiriwa kuwa utakuwa
ni wenye upinzani mkali.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu
anakabiliwa na upinzani kutoka muungano mrengo wa kati wa kushoto,
ambao umeahidi kuponya majeraha ya uhusiano na Palestina pamoja na
jumuiya ya kimataifa.
Wagombea wa kambi zote mbili
walitumia usiku wa jana kujaribu kwa mara ya mwisho kutafuta kura za
Waisrael katika uchaguzi huo ambao ambao pande zote mbili hazitarajii
kupata kura zaidi ya robo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni