.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 17 Machi 2015

NCHI YA VANUATU YAHITAJI MISAADA YA HARAKA YA CHAKULA NA KIBINADAMU

Nchi ya Vanuatu inahitaji msaada wa haraka wa chakula pamoja na misada mingine ya kibinadamu, siku chache tu kupita tangu ipigwe na kimbunga kikubwa kiitwacho Pam na kusababisha maafa makubwa katika taifa hilo lililopo Pacific.

Nyumba, shule na mazao yameharibiwa na kimbunga hicho kilichoambatana na mvua kilichovikumba visiwa vya nchi hiyo vipatavyo vitano.

Watu wapatao 24 wamefariki dunia ingawa vifo zaidi vinatarajiwa kuongezeka kutokana na kuwa bado hakuna taarifa kutoka katika visiwa kando eneo la Kusini ya mjii mkuu wa nchi hiyo.
                                                                            Nyumba iliyoezuliwa paa 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni