Abiria mmoja amefariki dunia papo hapo huku wengine zaidi ya ishirini wanaripotiwa kujeruhiwa kufauatia ajali ya basi la Air Jordan lililokuwa linatoka jijini Mwanza kuelekea jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, ACP Suzan Kaganda amesema kuwa ajali hiyo imetokea katika wilaya ya Nzega mkoani Tabora.
Kamanda Kaganda amesema kuwa, chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa basi hilo, ambapo alishindwa kulimudu hivyo kupinduka.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni